Pata usaidizi HAPA. | UKURASA WA KWANZA wa Yu Jian Yo  |  Ukurasa wa kwanza wa 123BuildIt  | Chagua Lugha  |  Kituo cha DEMO  | 
 | HUDUMA |  VIFAA vilivyojengwa ndani |  WASILIANA NASI | 
123 BUILD IT
Kitunga cha Ununuzi wa internet kwa lugha mbalimbali:

Programu ILIYOANDALIWA na itakayoundwa kwa mahitaji rasmi ya mteja na KUZUNGUMZA LUGHA za biashara yako



Jaribu kituo chetu cha DEMO

HAPA!
Chagua Lugha

ਪੰਜਾਬੀ_Punjabi 日本語_Japanese हिंदी_Hindi 中文 - 简体_Chinese-Simplified_PRC Việt Nam_Vietnamese Tagalog _Filipino_Philippines 中文 - 繁体_Chinese-Traditional Bahasa Indonesia_Indonesian English Română_Romanian Kiswahili_Swahili PRONTO/VERY SOON!_Español_Spanish اللغة العربية_Arabic 한글_Korean Français_French русский_Russian Deutsch_German ไทย_Thai

B2B na B2C: Tatua shida za kuelewana kwa lugha  Uwe wa kwanza kuendelesha bidhaa zako kwa soko mpya  KADIRIO LA MALIPO KWA BURE
HAPA!
 

CHAGUO ZA LUGHA MBALIMBALI za hali ya juu:
  • Tumia UNICODE tangu mwanzo mpaka mwisho – hakuna shida ya kutazama data, uwekaji, ao utumiaji
  • Kitunga cha ununuzi kinapatikana kwa MSINGI WA HUDUMA ulio salama wa MICROSOFT SQL2000 huko B.C., CANADA
  • HAKUNA TAFSIRI YA KOMPYUTA.  wenyeji wa kila lugha wanatafsiri na kujaribu hali zote za kituo chako
  • MAPATANO YA KIBIASHARA HURU kwa lugha mbalimbali:

  • Wateja wanatazama kituo, wanatoa maelezo juu ya agizo, na kupata maelezo ya malipo kwa LUGHA YAO.
  • Unatazama maelezo kuhusu agizo la mteja kwa LUGHA YAKO.
  • Fomu ya Agizo RAHISI KUTUMIA na VIFAA kwa Bdhaa (Bonyeza kwa MAELEZO)

  • Hudumia maagizo kwa urahisi na ubadilishe kituo chako – UJUZI WA MPANGILIO WA KOMPYUTA HAUHITAJIKI
  • BEI ZA PROGRAMU ZA KOMPYUTA ZIMEANDALIWA zikiwa zinaweza KUBADILISHWA inapohitajika:

  • Chaguo zako tu zitawekwa, yamaanisha MUDA MFUPI KUZIONA na TAFSIRI KWA BEI NAFUU
  • Unahitaji nini tena? Twaweza kuongeza kwa kitunga chako – uliza tu.
     
  • Tafsiri na Website za YU JIAN YO katika Azia na Ulaya…kwa biashara ndogo ndogo na matumaini ya kufikia ulimwengu wote…waanzilishi wa kituo 123Buildit cha lugha mbalimbali kwa ununuzi kwa njia ya internet 123 BuildIt © 2003
    Yu Jian Yo Language Services, Ltd
    Victoria, B.C. Canada